Zaburi 119:33-35
Zaburi 119:33-35 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, unifundishe kutii masharti yako; nami nitayashika mpaka mwisho. Unieleweshe nipate kuishika sheria yako, niifuate kwa moyo wangu wote. Uniongoze katika njia ya amri zako, maana humo napata furaha yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:33-35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, unifundishe njia ya amri zako, Nami nitaishika hadi mwisho. Unifahamishe nami nitaishika sheria yako, Naam, nitaitii kwa moyo wangu wote. Uniendeshe katika mapito ya amri zako, Kwa maana nimependezwa nayo.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:33-35 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, unifundishe njia ya amri zako, Nami nitaishika hata mwisho. Unifahamishe nami nitaishika sheria yako, Naam, nitaitii kwa moyo wangu wote. Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Kwa maana nimependezwa nayo.
Shirikisha
Soma Zaburi 119