Zaburi 119:32
Zaburi 119:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitafuata maelekezo ya amri zako, maana unanipa maarifa zaidi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitakwenda mbio katika njia ya maagizo yako, Utakaponipanulia ufahamu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119