Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:20-21 - Compare All Versions

Zaburi 119:20-21 BHN (Biblia Habari Njema)

Roho yangu yaugua kwa hamu kubwa ya kutaka kujua daima maagizo yako. Wewe wawakemea wenye kiburi, walaanifu, ambao wanakiuka amri zako.

Shirikisha
Zaburi 119 BHN

Zaburi 119:20-21 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Roho yangu imepondeka kwa kutamani Hukumu zako kila wakati. Umewakemea wenye kiburi, Wamelaaniwa waendao mbali na maagizo yako.

Shirikisha
Zaburi 119 SUV

Zaburi 119:20-21 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Roho yangu imepondeka kwa kutamani Hukumu zako kila wakati. Umewakemea wenye kiburi, Wamelaaniwa waendao mbali na maagizo yako.

Shirikisha
Zaburi 119 SRUV

Zaburi 119:20-21 NEN (Neno)

Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa kwa sheria zako wakati wote. Unawakemea wenye majivuno, waliolaaniwa, wanaoenda mbali na amri zako.

Shirikisha
Zaburi 119 NEN