Zaburi 119:169-170
Zaburi 119:169-170 Biblia Habari Njema (BHN)
Kilio changu kikufikie, ee Mwenyezi-Mungu! Unijalie akili kama ulivyoahidi. Ombi langu likufikie; uniokoe kama ulivyoahidi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:169-170 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, kilio changu na kikufikie, Unifahamishe sawasawa na neno lako. Dua yangu na ifike mbele zako, Uniponye sawasawa na ahadi yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119