Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:165 - Compare All Versions

Zaburi 119:165 BHN (Biblia Habari Njema)

Wapendao sheria yako wana amani kuu; hakuna kinachoweza kuwaangusha.

Shirikisha
Zaburi 119 BHN

Zaburi 119:165 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wana amani nyingi waipendao sheria yako, Wala hawana la kuwakwaza.

Shirikisha
Zaburi 119 SUV

Zaburi 119:165 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wana amani nyingi waipendao sheria yako, Wala hawana la kuwakwaza.

Shirikisha
Zaburi 119 SRUV

Zaburi 119:165 NEN (Neno)

Wanaopenda sheria yako wana amani tele, wala hakuna kitu kinachoweza kuwakwaza.

Shirikisha
Zaburi 119 NEN