Zaburi 119:161-162
Zaburi 119:161-162 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Watawala wamenitesa bila sababu, lakini moyo wangu unatetemeka kwa neno lako. Nafurahia ahadi zako kama mtu aliyepata mateka mengi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:161-162 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakuu wanidhulumu bila kisa, lakini mimi naheshimu maneno yako kwa moyo wote. Nafurahi kwa sababu ya neno lako, kama mtu aliyekuta kitu cha thamani kuu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119