Zaburi 119:145-146
Zaburi 119:145-146 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakulilia kwa moyo wangu wote; unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, nifuate kanuni zako. Nakulilia, unisalimishe; nipate kuyazingatia maamuzi yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:145-146 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimeita kwa moyo wangu wote; Ee BWANA, uitike; Nitazishika amri zako. Nimekuita Wewe, uniokoe, Nami nitazishika shuhuda zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119