Zaburi 119:143-144
Zaburi 119:143-144 Biblia Habari Njema (BHN)
Taabu na huzuni vimenipata, lakini amri zako ndizo furaha yangu. Maamuzi yako ni ya haki daima; unijalie maarifa nipate kuishi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:143-144 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Taabu na dhiki zimenipata, Maagizo yako ni furaha yangu. Haki ya shuhuda zako ni ya milele, Unifahamishe, nami nitaishi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119