Zaburi 119:122
Zaburi 119:122 Biblia Habari Njema (BHN)
Uahidi kunisaidia mimi mtumishi wako; usikubali wenye kiburi wanidhulumu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:122 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwe mdhamini wa mtumishi wako, apate mema, Wenye kiburi wasinionee.
Shirikisha
Soma Zaburi 119