Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:12-13 - Compare All Versions

Zaburi 119:12-13 BHN (Biblia Habari Njema)

Utukuzwe, ee Mwenyezi-Mungu! Unifundishe masharti yako. Nitayarudia kwa sauti maagizo yako yote uliyotoa.

Shirikisha
Zaburi 119 BHN

Zaburi 119:12-13 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ee BWANA, umehimidiwa, Unifundishe amri zako. Kwa midomo yangu nimezisimulia Hukumu zote za kinywa chako.

Shirikisha
Zaburi 119 SRUV

Zaburi 119:12-13 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ee BWANA, umehimidiwa, Unifundishe amri zako. Kwa midomo yangu nimezisimulia Hukumu zote za kinywa chako.

Shirikisha
Zaburi 119 SUV

Zaburi 119:12-13 NEN (Neno)

Uhimidiwe, Ee BWANA; nifundishe maagizo yako. Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote zinazotoka katika kinywa chako.

Shirikisha
Zaburi 119 NEN