Zaburi 119:102 - Compare All Versions
Zaburi 119:102 BHN (Biblia Habari Njema)
Sikukiuka maagizo yako, maana wewe mwenyewe ulinifundisha.
Shirikisha
Zaburi 119 BHNZaburi 119:102 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Sikuziacha hukumu zako, Maana Wewe mwenyewe umenifundisha.
Shirikisha
Zaburi 119 SRUVZaburi 119:102 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikujiepusha na hukumu zako, Maana Wewe mwenyewe umenifundisha.
Shirikisha
Zaburi 119 SUVZaburi 119:102 NEN (Neno)
Sijaziacha sheria zako, kwa kuwa umenifundisha wewe mwenyewe.
Shirikisha
Zaburi 119 NEN