Zaburi 119:100-101
Zaburi 119:100-101 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawapita wazee kwa busara yangu, kwa sababu nazishika kanuni zako. Najizuia nisifuate njia mbaya, nipate kulizingatia neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:100-101 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninao ufahamu kuliko wazee, Kwa kuwa nimeyashika mausia yako. Nimeiepusha miguu yangu na kila njia mbaya, Ili nilitii neno lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119