Zaburi 108:3
Zaburi 108:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Shirikisha
Soma Zaburi 108Zaburi 108:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Shirikisha
Soma Zaburi 108