Zaburi 103:1-2
Zaburi 103:1-2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, wala usisahau wema wake wote
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu! Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu! Usisahau kamwe wema wake wote.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, Wala usizisahau fadhili zake zote.
Shirikisha
Soma Zaburi 103