Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 1:2-3 - Compare All Versions

Zaburi 1:2-3 BHN (Biblia Habari Njema)

bali huifurahia sheria ya Mwenyezi-Mungu, na kuitafakari mchana na usiku. Huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito, unaozaa matunda kwa wakati wake, na majani yake hayanyauki. Kila afanyalo hufanikiwa.

Shirikisha
Zaburi 1 BHN

Zaburi 1:2-3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.

Shirikisha
Zaburi 1 SRUV

Zaburi 1:2-3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku. Naye atakuwa kama mti uliopandwa Kandokando ya vijito vya maji, Uzaao matunda yake kwa majira yake, Wala jani lake halinyauki; Na kila alitendalo litafanikiwa.

Shirikisha
Zaburi 1 SUV

Zaburi 1:2-3 NEN (Neno)

Bali huifurahia sheria ya BWANA, naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana. Mtu huyo ni kama mti uliopandwa kando ya vijito vya maji, ambao huzaa matunda kwa majira yake na majani yake hayanyauki. Lolote afanyalo hufanikiwa.

Shirikisha
Zaburi 1 NEN