Methali 6:26
Methali 6:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu hupoteza kipande cha mkate kwa malaya, lakini kwa mke wa mtu mwingine utapoteza uhai wako wote.
Shirikisha
Soma Methali 6Methali 6:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Shirikisha
Soma Methali 6