Methali 6:19
Methali 6:19 Biblia Habari Njema (BHN)
shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.
Shirikisha
Soma Methali 6Methali 6:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
Shirikisha
Soma Methali 6Methali 6:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
Shirikisha
Soma Methali 6