Methali 6:13-14
Methali 6:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Hukonyeza jicho kuwakosesha wengine, huparuza kwa nyayo, na kuashiria watu kwa vidole. Akiwa amejaa ulaghai moyoni hutunga maovu, huzusha ugomvi kila mahali.
Shirikisha
Soma Methali 6Methali 6:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hukonyeza kwa macho, hunena kwa miguu, Huwaashiria watu kwa vidole vyake. Mna upotovu moyoni mwake, hutunga uovu daima, Hupanda mbegu za magomvi.
Shirikisha
Soma Methali 6