Methali 4:3 - Linganisha Matoleo Yote
Methali 4:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Mimi pia nilikuwa mtoto mwenye baba, nilikuwa mpole, kipenzi cha mama yangu.
Methali 4:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nalikuwa mwana kwa baba yangu, Mpole, mpenzi wa pekee wa mama yangu.
Methali 4:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Maana nilikuwa mwana kwa baba yangu, Mpole, mpenzi wa pekee wa mama yangu.
Methali 4:3 NEN (Neno)
Nilipokuwa mvulana mdogo katika nyumba ya baba yangu, ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama yangu