Methali 3:5-7
Methali 3:5-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako. Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Methali 3:5-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtumaini Mwenyezi-Mungu kwa moyo wako wote, wala usitegemee akili zako mwenyewe. Umtambue Mungu katika kila ufanyalo, naye atazinyosha njia zako. Usijione wewe mwenyewe kuwa mwenye hekima; mche Mwenyezi-Mungu na kujiepusha na uovu.
Methali 3:5-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe; Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako. Usiwe na hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.