Methali 3:26
Methali 3:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe.
Shirikisha
Soma Methali 3