Methali 3:23-24
Methali 3:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo utaweza kwenda zako kwa usalama, wala mguu wako hautajikwaa. Ukiketi hutakuwa na hofu; ukilala utapata usingizi mtamu.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo utakapokwenda katika njia yako salama, Wala mguu wako hautakwaa. Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu.
Shirikisha
Soma Methali 3