Methali 3:16
Methali 3:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa mkono wake wa kulia Hekima atakupa maisha marefu; kwa mkono wake wa kushoto atakupa mali na heshima.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Shirikisha
Soma Methali 3