Methali 3:12
Methali 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye.
Shirikisha
Soma Methali 3