Methali 3:1-2
Methali 3:1-2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mwanangu, usisahau mafundisho yangu, bali zitunze amri zangu moyoni mwako, kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako na kukuletea mafanikio.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, usiyasahau mafundisho yangu, bali kwa moyo wako uzishike amri zangu. Maana yatakupa wingi wa siku, maisha marefu na fanaka kwa wingi.
Shirikisha
Soma Methali 3Methali 3:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, usiisahau sheria yangu, Bali moyo wako uzishike amri zangu. Maana zitakuongezea wingi wa siku. Na miaka ya uzima, na amani.
Shirikisha
Soma Methali 3