Methali 26:22-23
Methali 26:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo; hushuka mpaka ndani kabisa tumboni. Kama rangi angavu iliyopakwa kigae, ndivyo yalivyo maneno matamu yenye nia mbaya.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo. Nayo hushukia pande za ndani za tumbo. Midomo ijipendekezayo pamoja na moyo mbaya Ni kama kigae kilichofunikizwa taka za fedha.
Shirikisha
Soma Methali 26