Methali 26:21-22
Methali 26:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama vile makaa au kuni huchochea moto, ndivyo mgomvi achocheavyo ugomvi. Maneno ya msengenyaji ni kama kitoweo; hushuka mpaka ndani kabisa tumboni.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, Na kama kuni juu ya moto; Ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui. Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo. Nayo hushukia pande za ndani za tumbo.
Shirikisha
Soma Methali 26