Methali 26:21
Methali 26:21 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama vile makaa au kuni huchochea moto, ndivyo mgomvi achocheavyo ugomvi.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, Na kama kuni juu ya moto; Ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui.
Shirikisha
Soma Methali 26