Methali 26:13-14
Methali 26:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mvivu husema: “Huko nje kuna simba; siwezi kwenda huko.” Kama vile mlango uzungukiapo bawaba zake, ndivyo mvivu juu ya kitanda chake.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mvivu husema, Simba yuko njiani, Simba yuko katika njia kuu. Kama vile mlango ugeukavyo katika bawaba zake; Kadhalika mtu mvivu katika kitanda chake.
Shirikisha
Soma Methali 26