Methali 26:1
Methali 26:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Heshima apewayo mpumbavu haimfai; ni kama theluji ya kiangazi, au mvua ya wakati wa mavuno.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama theluji wakati wa joto, na mvua wakati wa mavuno; Kadhalika heshima haimpasi mpumbavu.
Shirikisha
Soma Methali 26