Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 25:26 - Compare All Versions

Methali 25:26 BHN (Biblia Habari Njema)

Mwadilifu akubaliye kufuata mambo ya mwovu, ni chemchemi iliyochafuliwa au kisima kilichotibuliwa.

Shirikisha
Methali 25 BHN

Methali 25:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mwenye haki amwangukiapo mtu mbaya Ni kama chemchemi iliyochafuka, Na kisima kilichokanyagwa.

Shirikisha
Methali 25 SRUV

Methali 25:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mwenye haki amwangukiapo mtu mbaya Ni kama chemchemi iliyochafuka, Na kisima kilichokanyagwa.

Shirikisha
Methali 25 SUV

Methali 25:26 NEN (Neno)

Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au kisima kilichotiwa taka ndivyo alivyo mtu mwenye haki akishiriki na waovu.

Shirikisha
Methali 25 NEN