Methali 25:16 - Compare All Versions
Methali 25:16 BHN (Biblia Habari Njema)
Upatapo asali kula kiasi cha kukutosha, usije ukaikinai na kuitapika.
Shirikisha
Methali 25 BHNMethali 25:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika.
Shirikisha
Methali 25 SRUVMethali 25:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Umeona asali? Kula kadiri ya kukutosha; Usije ukashiba na kuitapika.
Shirikisha
Methali 25 SUVMethali 25:16 NEN (Neno)
Ukipata asali, kula kiasi tu cha kukutosha, ukila zaidi, utatapika.
Shirikisha
Methali 25 NEN