Methali 24:9-10
Methali 24:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpango anaofikiria mpumbavu ni dhambi; mwenye dharau huchukiwa na kila mtu. Ukifa moyo wakati wa shida, basi wewe ni dhaifu kweli.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Fikira za mpumbavu ni dhambi, Na mwenye mzaha huwachukiza watu. Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache.
Shirikisha
Soma Methali 24