Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:9-10

Mithali 24:9-10 NENO

Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka. Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo!