Methali 2:7
Methali 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima safi, yeye ni ngao kwa watu waishio kwa uaminifu.
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili; Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu
Shirikisha
Soma Methali 2