Methali 2:21-22 - Compare All Versions
Methali 2:21-22 BHN (Biblia Habari Njema)
Maana wanyofu wataipata nchi, na waaminifu watadumu ndani yake. Lakini waovu wataondolewa nchini, na wenye hila watangolewa humo.
Shirikisha
Methali 2 BHNMethali 2:21-22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake. Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang'olewa.
Shirikisha
Methali 2 SRUVMethali 2:21-22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana wanyofu watakaa katika nchi, Na wakamilifu watadumu ndani yake. Bali waovu watatengwa na nchi, Nao wafanyao hila watang’olewa.
Shirikisha
Methali 2 SUVMethali 2:21-22 NEN (Neno)
Kwa maana wanyofu wataishi katika nchi, nao wasio na lawama watabakia ndani yake. Bali waovu watakatiliwa mbali kutoka nchi, nao wasio waaminifu watangʼolewa kutoka humo.
Shirikisha
Methali 2 NEN