Methali 2:20
Methali 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo utafuata mfano wa watu wema, na kuzingatia mienendo ya waadilifu.
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ili upate kwenda katika njia ya watu wema, Na kuyashika mapito ya wenye haki.
Shirikisha
Soma Methali 2