Methali 2:14-15
Methali 2:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
watu wafurahiao kutenda maovu, na kupendezwa na upotovu wa maovu; watu ambao mienendo yao imepotoka, nazo njia zao haziaminiki.
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wafurahio kutenda mabaya; Wapendezwao na upotovu wa waovu; Waliopotoka katika njia zao; Walio wakaidi katika mapito yao.
Shirikisha
Soma Methali 2