Methali 2:12-13
Methali 2:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
vitakuepusha na njia ya uovu, na watu wa maneno mapotovu; watu waziachao njia nyofu, ili kuziendea njia za giza
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ili kukuokoa na njia ya uovu, Na watu wanenao yaliyopotoka; Watu waziachao njia za unyofu, Ili kuziendea njia za giza
Shirikisha
Soma Methali 2