Methali 2:1-2
Methali 2:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, ukiyakubali maneno yangu, na kuyathamini maagizo yangu; ukitega sikio lako kusikiliza hekima, na kuuelekeza moyo wako upate ufahamu
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, kama ukiyakubali maneno yangu, Na kuyaweka akiba maagizo yangu; Hata ukatega sikio lako kusikia hekima, Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu
Shirikisha
Soma Methali 2