Methali 16:5
Methali 16:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mwenye kiburi ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu; hakika mtu wa namna hiyo hataacha kuadhibiwa.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA; Hakika, hatakosa adhabu.
Shirikisha
Soma Methali 16