Methali 16:3-4
Methali 16:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa. Mwenyezi-Mungu ameumba kila kitu kwa kusudi lake; hata waovu kwa ajili ya siku ya maangamizi.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatakuwa kweli. BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake; Naam, hata wabaya kwa siku ya ubaya.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika. BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake; Naam, hata wabaya kwa siku ya ubaya.
Shirikisha
Soma Methali 16