Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 16:27 - Compare All Versions

Methali 16:27 BHN (Biblia Habari Njema)

Mtu mwovu hupanga uovu; maneno yake ni kama moto mkali.

Shirikisha
Methali 16 BHN

Methali 16:27 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mtu asiyefaa kitu huchimba shimo la madhara; Katika midomo yake mna moto uteketezao.

Shirikisha
Methali 16 SRUV

Methali 16:27 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mtu asiyefaa kitu huchimba shimo la madhara; Katika midomo yake mna moto uteketezao.

Shirikisha
Methali 16 SUV

Methali 16:27 NEN (Neno)

Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, maneno yake ni kama moto uunguzao.

Shirikisha
Methali 16 NEN