Methali 16:23
Methali 16:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Moyo wa mwenye hekima humwezesha kusema kwa busara; huyafanya maneno yake yawe ya kuvutia.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wake mwenye hekima hufundisha kinywa chake; Huzidisha elimu ya midomo yake.
Shirikisha
Soma Methali 16