Methali 16:2
Methali 16:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu.
Shirikisha
Soma Methali 16