Methali 16:13
Methali 16:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme hupendelea mtu asemaye kwa unyofu; humpenda mtu asemaye ukweli.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Midomo ya haki ni furaha ya wafalme; Nao humpenda yeye asemaye yaliyo sawa.
Shirikisha
Soma Methali 16