Methali 16:12 - Compare All Versions
Methali 16:12 BHN (Biblia Habari Njema)
Ni chukizo kubwa wafalme kutenda uovu, maana msingi wa mamlaka yao ni haki.
Shirikisha
Methali 16 BHNMethali 16:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki.
Shirikisha
Methali 16 SUVMethali 16:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki.
Shirikisha
Methali 16 SRUVMethali 16:12 NEN (Neno)
Wafalme huchukia sana kutenda maovu, kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kupitia haki.
Shirikisha
Methali 16 NEN