Methali 16:1-3
Methali 16:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu. Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu. Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu. Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatakuwa kweli.
Shirikisha
Soma Methali 16Methali 16:1-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA. Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu. Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika.
Shirikisha
Soma Methali 16