Methali 15:20-21
Methali 15:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtoto mwenye hekima humfurahisha baba yake, lakini mpumbavu humdharau mama yake. Upumbavu ni furaha kwa mtu asiye na akili, lakini mwenye busara huchagua njia iliyo sawa.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mpumbavu humdharau mamaye. Upumbavu ni furaha kwake aliyepungukiwa na akili; Bali mwenye ufahamu huunyosha mwenendo wake.
Shirikisha
Soma Methali 15