Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 15:20-21

Mithali 15:20-21 NENO

Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. Upumbavu humfurahisha mtu ambaye hana akili, bali mtu mwenye ufahamu hushika njia iliyonyooka.